TANZIA


 

Kwa masikitiko makubwa sana Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kinawatangazia wanajumuiya wake  vifo vya wafanyakazi na wanafunzi vilivyotokea katika ajali mbaya iliyotokea tarehe 11 June, 2018 katika eneo la Riverside Ubungo.

Bofya hapa kwa taarifa zaidi.