Sera ya Mfuko wa mazishi ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam


 
Kwa barua ya tarehe 10 Machi, 2015 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Utawala, aliteua Kamati ya Kuandaa Sera ya Mfuko wa Mazishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kamati ilipewa hadidu za rejea zifuatazo:
 
1. Kupitia upya Rasimu ya Sera ya Mazishi ya 2014 iliyowasilishwa kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala) pamoja na kanuni zake ili kupendekeza malipo ya ziada ambayo mfiwa atapewa kutoka katika Mfuko wa Chuo wa Sera ya Mzishi.
 
2. Kupendekeza jambo jingine lolote ambalo kamati itaona linafaa kuhusishwa, kuingizwa au kufanyiwa kazi, ili kuboresha Sera ya Mazishi, kwa maslahi ya wafanyakazi na Chuo kwa ujumla.
Kamati ilitakiwa kuwasilisha rasimu ya Sera ya Kanuni zake ifikapo tarehe 31 Machi, 2015.
 
Bonyeza HAPA kwa maelezo zaidi.