MSAADA TOKA CRDB BANK PLC


CRDB Bank PLC wakitoa msaada wa kitanda maalumu cha kufanyia upasuaji katika Kituo cha Afya cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Asante CRDB