Mkurugenzi Mtendaji wa University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) anawatangazia waombaji wote waliofanya usaili wa awamu ya kwanza kwaajili ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara (45th DITF) ya Sabasaba ya mwaka 2021 kuwa usaili wa awamu ya pili umepangwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 19/06/2021 kuanzia Saa 4:00 Asubuhi makao makuu ya UCC yaliyopo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kampasi ya Mlimani mkabala na Benki ya NBC. SOMA ZAIDI