Waombaji wa ajira za muda katika Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wenye namba zifuatazo za usaili wa kuandika uliofanyika januari 28, 2023 wanaitwa kwenye usaili wa mazungumzo utakaofanyika siku ya jumatano Februari 1, 2023 saa 2:00 kamili asubuhi katika chumba namba 204 jengo la Kiswahili.