Rejea Tangazo la Kazi ya muda mfupi lililotolewa tarehe 3 Juni 2021 katika tovuti ya (www.ucc.co.tz), mbao za matangazo, na mitandao ya kijamii ya University of Dar Es Salaam Computing Centre (UCC) kwa ajili ya kutoa huduma katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), maarufu kama Maonesho ya Sabasaba yatakayoanza 28 Juni hadi 13 Julai 2021 kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa, Temeke - Dar es Salaam. UCC inapenda kukutaarifu ya kwamba kutokana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo letu waombaji wote 1,000 wamekidhi vigezo vilivyowekwa kwa waombaji. Hivyo, waombaji wote 1,000 wamechaguliwa kuingia katika usaili wa hatua ya kwanza (Aptitude test).

SOMA ZAIDI.....