UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
SCHOOL OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (SJMC)

News

Congratulation Dr. Edgar Ngelela for being awarded PhD

Congratulation Dr. Edgar Ngelela for being awarded PhD

Read More

Today a project called Camera for Girls was conducted at SJMC

Today a project called Camera for Girls was conducted at SJMC. The project aims to empower Girls to use a camera to tell stories, to become great photojournalist, to employ themselves as well as to employ other. Its a four days intensive workshop

Read More

Congratulation Dr. Magolanga

Conglaturation Dr. Magolanga for being awarded a PHD in the 53 congregation today 19/5/2023

Read More

Kwenye uzinduzi wa Minara ya DTT ya Kampuni ya Azam

Amidi wa SJMC Dk Mona Mwakalinga (nyuma mwenye miwani) akiwa na Wakongwe katika tasnia ya habari na utangazi

Read More

HONGERA KELVIN KANJE KWA KUPOKEA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA

HONGERA KELVIN KANJE KWA KUPOKEA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA

Read More


Mafunzo ya watumishi wa SJMC juu ya Huduma kwa wateja

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma(SJMC)  tarehe 20 Machi, 2023 kimeendesha mafunzo kwa watumishi ili kuboresha huduma kwa wateja wa chuo hicho. 

Akifungua mafunzo tarehe 20 Ma

Read More

PROF. KILLIAN: TOVUTI ZITUMIKE KUSAMBAZA HABARI NA MATOKEO YA TAFITI.

Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam, Mipango, Utawala na Fedha Prof. Bernadeta Killian ametoa wito kwa wasimamizi wa tovuti za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutumia tovuti hizo katika kusambaza habari na matokeo ya tafiti zilizofanywa chuoni hapo

Read More

Prof. Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu Kuongoza ujumbe wa MCT kuelezea AZIMIO LA DAR ES SALAAM JUU YA UHURU WA UHARIRI NA UWAJIBIKAJI (DEFIR)

Baraza la Habari Tanzania (MCT) linatarajia kukutana na wanafunzi na walimu wa SJMC kesho Jumanne tar 6 Desemba 2022 hapa shuleni kwetu kuanzia saa 5 hadi saa 7 mchana. Lengo la mkutano huu ni kutaka kuhamasisha umuhimu na utekelezwaji wa AZIMIO L

Read More

Hongera Dkt Issa Mbura. Jamii ya SJMC inaona fahari

Hongera Dkt Issa Mbura. Jamii ya SJMC inaona fahari 

Read More

Amidi akikabidhi vifaa vya michezo

Amidi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za wanafunzi wanaokwenda kucheza na timu ya Shule kuu ya Elimu

Read More

Hongera kuhitimu shahada ya uzamivu

Dr. Egbert Mkoko akiwa amehitimu shahada ya uzamivu tar 28/4/2021: Afrika ya Kusini

Read More