UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
DIRECTORATE OF UNDERGRADUATE STUDIES (DUS)

Announcements

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mlimani, kinapenda kuwataarifu wadau wa Chuo na umma kwa ujumla kuwa kitafanya Mahafali ya Hamsini na Moja (51) duru ya pili na ya tatu siku ya Jumamosi, tarehe 16 Oktoba 2021 na Jumatano, tarehe 20 Oktoba 2021 Katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Kuanzia saa nne asubuhi.

SOMA ZAIDI >>>