UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF KISWAHILI STUDIES (IKS)

Photos Gallery

.

Ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Port Harcourt Nigeria

Uongozi wa TATAKI ukiwa na Ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Port Harcourt Nigeria. Kutoka kushoto ni Dkt Adventina Buberwa Mudiri wa Idara ya Lugha ya Kiswahili na Isimu,

Read

Tunashukuru shirika la UNESCO kwa kuiadhimisha lugha ya Kiswahili na kuiwekea hadhi kubwa ambayo itaifanya ipate maendeleo zaidi duniani kote katika sekta mbali mbali

Read

Sherehe za Sabasaba za Mwaka 2022 zilizofanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ilishiriki Kikamilifu.

Read