UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF RESOURCE ASSESSMENT (IRA)

Daily News 26-10-2022 - Maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo Kikuu cha DaresSalaam na miaka 40 ya Weledi ya Taasisi ya Kutathmini Rasilimali

Maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo Kikuu cha DaresSalaam na miaka 40 ya Weledi ya Taasisi ya Kutathmini Rasilimali katika Kutathimini Rasilimali na Usimamizi wa Mazingira kwa ajili ya Sera na Maendeleo ya Taifa yaliyofanyika Nkrumah Hall, 24-10-2022 yaliyotolewa katika gazeti la Daily News la tarehe 26-10-2022

Attachment: Download