Skip to main content
Body

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuutangazia umma kuwa kimetenga eneo la mgahawa mdogo kwa ajili ya kutoa huduma za chakula kwa wanafunzi katika Hosteli za Ubungo.

Wenye nia ya kutoa huduma hii wanakaribishwa kuchukua fomu za maombi katika Ofisi ya Uwekezaji, Jengo la Utawala (Cranford Pratt Building).

Soma zaidi >

Announcement Date