Primi Aloyce Massawe ni Dereva Mwandamizi katika Taasisi ya Kutathmini Rasilimali kwa kipindi cha miaka 20. Ana ujuzi wa kuendesha magari ya aina mbalimbali na amehitimu kozi ya kuendesha viongozi wa ngazi za juu wa serikali, amehitimu mafunzo ya VETA daraja la kwanza na amehitimu elimu ya kidate cha nne.
Email: