UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
CENTRE FOR CLIMATE CHANGE STUDIES (CCCS)

Announcements

Mkurugenzi, Taasisi ya Tathmini Rasilimali, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anawatangazia waombaji kazi wafuatao katika nafasi ya Afisa Hesabu na Dereva waliofanya usaili wa mchujo na vitendo kuwa wamefaulu kuendelea na usaili wa mahojiano utakaofanyika tarehe 22 Septemba 2023, kuanzia saa 02:00 asubuhi (08:00 a.m.), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kama inayoonekana katika jedwali hapa chini:-.

 

Na.

Kada

Tarehe ya usaili wa

mahojiano

Ukumbi

1.

Afisa Hesabu

 

22 Septemba 2023

 

Nkurumah Hall

2.

Dereva

 

Wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia mambo yafuatayo:-

 

  1. Kuwasilisha vyeti halisi vya elimu na taaluma;
  2. Cheti cha kuzaliwa;
  3. Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Mpiga Kura, Pasi ya Kusafiria au barura ya utambulisho kutoka Serikali za Mitaa kwa ajili ya utambuzi;
  4. Wasailiwa watakaowasilisha “Provisional Results”, “Statement of Results”, hati za matokeo ya kidato cha IV na VI (Form IV and VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
  5. Wasailiwa wa nafasi ya Dereva wanatakiwa kuwasilisha leseni ya udereva;
  6. Kila msailiwa azingatie tarehe, muda, na mahali ambapo usaili utafanyika;
  7. Kila msailiwa atajigharamia usafiri, chakula na malazi.

 

Majina ya waombaji kazi wanaoitwa kwenye usaili wa mahojiano:-

 

​​​​​​​A: Kada ya Afisa Hesabu

NA.

JINA

JINSIA

ANUANI

1.

JUVENALIS ERNEST BARAKA

Me

P. O. Box 55093, DAR ES SALAAM

2.

EVOD THADEUS TESHA

Me

S. L. P 14675, DAR ES SALAAM

3.

CATHERINE SIMBA BOGOHE

Ke

S. L. P 1061, DAR ES SALAAM

4.

DEBORAH E. NYASIBORA

Ke

DAR ES SALAAM

5.

HAPPY GODFREY MSANGI

Ke

S. L. P 90489, DAR ES SALAAM

6.

IRENE RICHARD MAKUNDI

Ke

S. L. P 1343, DAR ES SALAAM

7.

MOHAMED MUSSA

Me

S. L. P 75444, DAR ES SALAAM

8.

RICHARD PROSPER KITULA

Me

S. L. P 508, DAR ES SALAAM

 

B: Kada ya Dereva

NA.

JINA

JINSIA

ANUANI

1.

BENARD YOHANA NGOMAITALA

Me

S. L. P 912, DODOMA.

2.

SALUM SHABAN YOMBAYOMBA

Me

S. L. P 13303, Ilala, DAR ES SALAAM

3.

MAJUTO HAMISI ATHUMANI

Me

S. L. P 9261, DAR ES SALAAM

4.

ALPHONCE ERASTO KANDUTA

Me

University of Dar es Salaam Computing Centre, C/o Joyce Joseph Liwa,

S. L. P 35062, DAR ES SALAAM

5.

SADY BALTAZARY KIPUTA

Me

S. L. P 33489, DAR ES SALAAM

 

Imetolewa na MKURUGENZI

TAASISI YA TATHMINI RASILIMALI

TAFADHALI PAKUA KIAMBATISHO KWA MAELEZO ZAIDI

Attachment: Download