University of Dar Es Salaam Computing Centre (UCC) ilishinda zabuni ya kujenga mfumo, kusambaza vifaa na kutoa huduma ya Uendeshaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam (DITF), maarufu kama Maoenesho ya Sabasaba yatakayoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2021 kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa, Temeke - Dar es Salaam. Hivyo, UCC inapenda kutangaza nafasi za kazi za muda mfupi kwa ajili ya kushughulikia huduma za uendeshaji wa maonesho na kuuza Tiketi za kuingia uwanjani (watu na magari).

SOMA ZAIDI KUJUA SIFA ZA MWOMBAJI