Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala anawatangazia waombaji kazi kwa ajira ya mkataba mfupi katika nafasi ya “Accounts Assistant” na “Driver” kuhudhuria usaili utakaofanyika tarehe 6, 7 na 8 Desemba, 2023 kuanzia saa 08:00 asubuhi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama inavyonekana katika jedwali