UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF KISWAHILI STUDIES (IKS)

News

Maadhimisho ya siku ya kiswahili Duniani ni tarehe 7/7/2023. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Taasisi ya Taaluma za Kiswahili maadhimio hayo yataaza tarehe 4 -5 Julai 2023. yatafanyika katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.