UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF MARINE SCIENCES (IMS)

Events

TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ITAADHIMISHA WIKI YA UTAFITI NA UBUNIFU TAREHE 3 - 5 MEI 2021 KWA MAONESHO.

MAONESHO YA MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KISAYANSI KWA WANANCHI WOTE YATAFANYIKA KATIKA JENGO LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI LILILOKO BUYU, ZANZIBAR KUANZIA SAA 3 ASUBUHI.

KAULI MBIU YA MAONESHO HAYA NI “UTAFITI NA UBUNIFU KWA MAENDELEO ENDELEVU YA VIWANDA NA JAMII TANZANIA”.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Event Date: Mon, 03 May 2021Wed,May 2021