UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF RESOURCE ASSESSMENT (IRA)

Taarifa za magazeti ya tarehe 26-10-2022 - za maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo Kikuu cha DaresSalaam na miaka 40 ya Weledi ya Taasisi ya Kutathmini Rasilimali

Maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo Kikuu cha DaresSalaam na miaka 40 ya Weledi ya Taasisi ya Kutathmini Rasilimali katika Kutathimini Rasilimali na Usimamizi wa Mazingira kwa ajili ya Sera na Maendeleo ya Taifa yaliyofanyika Nkrumah Hall, 24-10-2022 yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 26-10-2022