Chuo Kikuu kinawatangazia wanajumuia wake wote kwamba, kupitia Kurugenzi ya Huduma za Jamii, kimeandaa elimu na mafunzo ya michezo mbalimbali katika juma la michezo, tarehe 25 mpaka 29 Januari, 2021 kama inavyooneshwa kwenye Almanac ya Chuo.
Maelezo zaidi
Ratiba