UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF MARINE SCIENCES (IMS)

News

Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam itaadhimisha WIKI YA UTAFITI siku ya tarehe 3 na tarehe 4 mwezi Mei mwaka huu wa 2016 kwa MIHADHARA na MAONESHO

Mihadhara itakuwa ni kwa waalikwa maalum na itafanyika tarehe 03/05/2016

Maonesho ya matokeo ya tafiti mbalimbali ya kisayansi yatakuwa ni kwa wananchi wote na yatafanyika tarehe 04/05/2016 katika jengo la taasisi ya sayansi za baharari lililoko barabara ya Mizingani, Malindi, Zanzibar kuanzia saa 3 asubuhi
Maonesho haya ni sehemu ya sherehe ya miaka 55 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo kilele chake kitakuwa mwezi Oktoba 2016 Nyote Mnakaribishwa