UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
INSTITUTE OF MARINE SCIENCES (IMS)

News

TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ITAADHIMISHA WIKI YA UTAFITI TAREHE 30 MACHI 2017 KWA MAONESHO.

 

MAONESHO YA MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KISAYANSI KWA WANANCHI WOTE YATAFANYIKA KATIKA JENGO LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI LILILOKO BARABARA YA MIZINGANI, MALINDI, ZANZIBAR KUANZIA SAA 3 ASUBUHI.

 

KAULI MBIU YA MAONESHO HAYA NI “UTAFITI KWA TANZANIA YA VIWANDA NA UCHUMI WA KATI”.

 

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Attachment: Download