UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
SCHOOL OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (SJMC)

News

Amidi wa SJMC Dk Mona Mwakalinga (nyuma mwenye miwani) akiwa na Wakongwe katika tasnia ya habari na utangazi leo Dar es Salamaa katika uzinduzi wa Mradi wa Minara ya kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya kampuni ya Azam Media Limited.