Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited, inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A. Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
The Dar es Salaam University Press was re-established in March 2017 to take up activities conducted by the Dar es Salaam University Press (1996) Limited (DUP 1996 Ltd). DUP is one of the University of Dar es Salaam (UDSM) Strategic Company mandated to publish all academic and scholarly works as well as all official documents of the University. UDSM since its inception has charted distinct pathways to academic excellence and DUP played a very distinct role to make UDSM known to Tanzania’s and beyond.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05-12-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: